Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ZIARANI KICHAMA WILAYA TEMEKE

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa CCM na Wananchi,  alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na  DJ Mwanaidi Adinan Msuya wa Kikundi cha Peramiho Music Sound  alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Temeke Jijini Dar es  Salaam 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.