Habari za Punde

SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA TAIFA WAUENDESHAJI WA SHUGHULI ZA UTALII NCHINI TANZANIA WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Katikati), Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Constantine Kanyasu (wan ne kutoka kulia), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Adolf Mkenda (wa Pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Aloyce Nzuki, Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi na Viongozi wa Vyama vya Mawakala wa Utoaji wa huduma za Utalii nchini Tanzania wakionesha  Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA mara baada ya kuzinduliwa rasmi leo jijini Arusha.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Wadau wa Sekta ya Utalii na Waandishi wa Habari leo jijini Arusha wakati wa Uzinduzi rasmi wa Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA.
Wadau wa Sekta ya Utalii wakifuatilia tukio la Uzinduzi  wa Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA.
PICHA/Aron Msigwa - WMU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.