Habari za Punde

Wakuu wa Idara za SMZ Pemba Wapata Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo

AFISA Mdhamini Ofisi ya Mkamu wa Pili wa Rais Ali Salim Matta, akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya Tasaf na uhakiki wa kaya kwa wakuu wa maidara na wawezeshaji ngazi ya maeneo ya utekelezaji, huko katika ukumbi wa Wizara ya fedha Gombani
BAADHI ya wakuu wa maidara na wawezeshaji ngazi ya maeneo ya utekelezaji wa tasaf kipindi cha pili cha awamu ya tatu, wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo ya mpango huo huko katika ukumbi wa wizara ya fedha Gombani.
MWEZESHAJI Abasi Salehe akitoa maelezo mafupi kuhusu kipindi cha pili cha mpango, wakati wa mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya Tasaf na uhakiki wa kaya kwa wakuu wa maidara na wawezeshaji ngazi ya maeneo ya utekelezaji, huko katika ukumbi wa Wizara ya fedha Gombani
BAADHI ya maafisa wadhamini wa wizara mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya Tasaf na uhakiki wa kaya kwa wakuu wa maidara na wawezeshaji ngazi ya maeneo ya utekelezaji, huko katika ukumbi wa Wizara ya fedha Gombani 
BAADHI ya wakuu wa maidara na wawezeshaji ngazi ya maeneo ya utekelezaji wa tasaf kipindi cha pili cha awamu ya tatu, wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo ya mpango huo huko katika ukumbi wa wizara ya fedha Gombani.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.