Habari za Punde

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji Mkuu Mstaaf Zanzibar Mhe. Hamid Mahmoud Hamid Atangaza Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar 50.


Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji Mkuu Mstaaf Mhe.Hamid Mahmoud Hamid akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati akitangaza Majimbo ya Uchaguzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Jengo la ZURA Maisara Suleiman Jijini Zanzibar. Akisisitiza jambo wakati akitangaza majimbo hayo kwa Waandishi wa Habari Zanzibar.

Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar  yaliotangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud Hamid katika kila Wilaya za Unguja na Pemba. 

Majimbo ya Uchaguzi kwa upande wa Unguja kama ifuatayo. 

Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja Idadi ya Majimbo ni 5.
 Jimbo la Chaani, Kijini,Mkwajuni,Tumbatu na Nungwi .

Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja. Majimbo  3. 
Jimbo la Donge,Mahonda na Bumbwini.

Wilaya ya Kati Unguja Majimbo 3.
Jimbo la Chwaka,Uzini na Tunguu.

Wilaya ya Kusini Unguja Majimbo 2.
Jimbo la Makunduchi na Paje.

Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Majimbo 5.
Jimbo la Mtoni,Bububu,Mfenesini,Welezo na Mwera.

Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Majimbo 5.
Jimbo la Dimani,Fuoni,Kiembesamaki,Mwanakwerekwe na Pangawe.

Wilaya ya Mjini Unguja Majimbo 9.
Jimbo la Kwahani,Amani,Magomeni,Shaurimoyo,Malindi,Kikwajuni,Chumbuni,Jangombe na Mpendae.

Majimbo ya Uchaguzi kwa upande wa Pemba kama ifuatayo. 

Wilaya ya Micheweni Pemba Majimbo 4 
Jimbo la Micheweni, Tumbe,Wingwi na Konde.

Wilaya ya Wete Pemba Majimbo 5.
Jimbo la Mtambwe,Pandani,Gando,Kojani na Wete.

Wilaya ya Chakechake Pemba Majimbo 5.
Jimbo la Chakechake,Wawi,Ziwani,Chonga na Ole.

Wilaya ya Mkoani Pemba Majimbo 4.
Jimbo la Mkoani,Mtambile,Kiwani na Chamani   
  
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakifuatilia taarifa ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji Mkuu Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud Hamid akitangaza Majimbo hayo (hayupo pichani) wakati akitangaza majimbo hayo kwa Waandishi wa habari katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Jengo la ZURA Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)  Ndg.Thabit Idarous Faina, akiwa na Makamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa (ZEC )Jaji Mkuu Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud Hamid akitangaza Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Jengo la ZURA Maisara Suleiman Jijini Zanzibar..
Makamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakifuatilia hafla ya utangazaji wa Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar , wakati Mwenyekiti wa Tumu ya Uchaguzi Jaji Mkuu Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud Hamid (hayupo pichani) akitangaza majimbo hayo katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Jengo la ZURA Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Maofisa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakifuatilia hafla ya utangazaji wa Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar , wakati Mwenyekiti wa Tumu ya Uchaguzi Jaji Mkuu Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud Hamid (hayupo pichani) akitangaza majimbo hayo katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Jengo la ZURA Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Maofisa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakifuatilia hafla ya utangazaji wa Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar , wakati Mwenyekiti wa Tumu ya Uchaguzi Jaji Mkuu Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud Hamid (hayupo pichani) akitangaza majimbo hayo katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Jengo la ZURA Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg. Thabit Idarous Faina akizungumza na kujibu baadhi ya  maswali yalioulizwa na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kutangazwa Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Jengo la ZURA Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakifuatilia taarifa ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji Mkuu Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud Hamid akitangaza Majimbo hayo (hayupo pichani) wakati akitangaza majimbo hayo kwa Waandishi wa habari katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Jengo la ZURA Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.