Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AAPIOSHA VIONGOZI ALIOWATEUA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi  Marwa Mwita Bubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Aloyce Nzuki kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Anthony Sanga kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Seif Shekilage kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Nadhifa Kemikimba kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara yua Maji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Minyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Viongozi walioapishwa wakila viapo vya Maadili ya Viongozi kwenye hafla iliyofanyikia Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Viongozi walioapishwa wakitia saini hati za Viapo vya Maadili ya Viongozi kwenye hafla iliyofanyikia Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza viongozi mbalimbali aliowaapisha  kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi John Kijazi, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi Dkt. Laurian Ndumbaro, Katibu Mkuu  Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga na Dkt Laurian Ndumbaro  wakiwa na viongozoi mbalimbali walioapishwa
kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai
20, 2020

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.