Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AKIWA NA WASANII IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na wasanii waliofika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020
PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.