Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Asaini Kitabu cha Maombolezi ya Rais Mstaa wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Benjamin William Mkapa Jijini Dar es Salaam leo.25/7/2020.u

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Kitabu cha maombolezi cha Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, alipofika nyumbani kwa marehemu mtaa wa Masaki Jijini Dar es Salaam,leo kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mke wa Marehemu Mzee Mkapa Mama Anna Mkapa, alipofika nyumbani kwa marehemu mtaa wa Masaki Jijini Dar es Salaam kutowa mkono wa pole kwa Familia na kushoto kwa Mama Anna Mtoto wa Marehemu Nico Mkapa. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfarijiMjane wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu Mama Anna Mkapa, alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Masaki Jijini Dar es Salaam kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfarijiMjane wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu Mama Anna Mkapa, alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Masaki Jijini Dar es Salaam kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu leo na kushoto kwa Mama Anna Mtoto wa marehemu Nico Mkapa. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vombo mbalimbali Jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza kusaini kitambu cha maombolezi ya Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Benjamin William Mkapa, alipofika nyumbani kwake Mtaa wa Masaki leo kutowa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoka nyumbani kwa marehemu Mzee Mkapa baada ya kumaliza kutowa mkono wa pole na kusaini kitabu cha maombolezi, alipofika nyumba leo Mtaa wa Masaki Jijini Da es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.