Mhe.Hussein Ali Hassan Mwinyi akipongezwa na Mwakilishi wa Jimbo lake la Kwahani Mhe.Ali Salum, baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa kuwania kugombea Urais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2020.
PIGENI KURA OKTOBA 29, MTUDAI MAENDELEO - DKT. BITEKO
-
Mgombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Bukombe kwa tiketi ya CCM Dkt. Doto
Biteko akiwahutubia lwananchi wa Msonga Kata ya Runzewe Mashariki ikiwa ni
sehem...
17 minutes ago
No comments:
Post a Comment