Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Atembelea Ujenzi wa Meli Mpya ya MV. New Victoria -Hapa Kazi Tu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa nahodha wa meli ya  MV New Victoria – Hapa Kazi Tu, Bembele Samson Ng’wita (wa pili kulia)  wakati alipoikagua meli hiyo ambayo ukarabati wake umekamilika, kwenye Bandari ya Mwanza South
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa nahodha wa meli ya  MV New Victoria – Hapa Kazi Tu, Bembele Samson Ng’wita (wa pili kulia)  wakati alipoikagua meli hiyo ambayo ukarabati wake umekamilika, kwenye Bandari ya Mwanza South.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye chumba cha nahodha wa meli ya  MV  New Victoria – Hapa kazi Tu wakati alipokagua meli hiyo ambayo ukarabari wake umekamilika kwenye Bandari ya Mwanza South,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na nahodha wa meli ya  MV  New Victoria – Hapa Kazi Tu,  Bembele Samson Ng’wita kukagua meli hilo ambayo ukarabati wake umekamilika , kwenye Bandari ya Mwanza South.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Leonard Chamlilo (wa tatu kushoto) kukagua ujenzi wa meli mpya inayojulikana kama MV Mwanza - Hapa Kazi Tu ,inayojengwa  na Serikali kwenye Bandari ya Mwanza South , Agosti 9, 2020.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.