Habari za Punde

ZITTO KABWE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA KIGOMA MJINI

Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo na Kiongozi wa Chama hicho  Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto 'Zitto Kabwe' (kushoto), akipokea fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kutoka Kwa Msimamizi wa Uchaguzi Msaidizi wa Jimbo hilo, Ferdinand Firimbi jana mjini Kigoma.(Picha na Said Powa)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.