Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi Barabara Kutoka Kwa Nyanya Hadi Bububu Polisi Ukiwa Katika Hatua za Mwisho

Mafundi wa Kampuni inayojenga barabara ya kiwango cha lami kutoka Kwa nyanya hadi Bububu Polisi wakimalizia ujenzi huo kwa kuweka mzunguko  katika makutano ya barabara ya mbuzi na ya kwanyanya kwenda Mjini na Mkoa wa Kaskazini Unguja, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati za ujenzi huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.