Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanafunzi wa Skuli mbalimbali za Unguja na Pemba wakati wakipita kwa maandamano katika Jukwaa Kuu la Viongozi katika hafla ya Tamasha la 56 la Maadhimisho ya Elimu Bila Malipo Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe.
WANANCHI WAENDELEA KUELIMISHWA UFUGAJI WA NYUKI
-
Wananchi wanaendelea kuelimishwa kuhusu ufugaji wa nyuki kuwa ni fursa
kubwa ya kipato na maisha bora kwani nyuki wanatupa asali yenye thamani
kubwa so...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment