Habari za Punde

Kongamano la Nne la TEHAMA Kufanyika Octoba 7 hadi 9.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (kushoto) akizungumza katika Mkutano wake na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Dar es Salaam, anayefuata ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FCDT) Sosthenes Kewe na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wizara hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Samson Mwela akizungumza katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. ZainabuChaula (katikati) na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonaz.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FCDT) Sosthenes Kewe (kulia) akizungumza katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (katikati) na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonaz.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (katikati) akijadiliana na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Samson Mwela (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FCDT) Sosthenes Kewe (kulia) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9,wakiwa ofisini kwake ,Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.