Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwasili kwenye kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika kata hiyo,
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwasilimia wananchi,baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika kata hiyo
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika kata hiyo
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akitembea katika mitaa ya kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika kata hiyo, Septemba 25, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment