Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Aongoza Waombolezaji Katika Kuuaga Mwili wa Marehemu Mark Bomani.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Septemba 14, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi  wakati alipowaongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa Mwanasheria  Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya wakati alipowaongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa Mwanasheria  Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipowaongoza waombolezaji kuuaga mwili wa Mwanasheri Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete wakati alipowaongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa Mwanasheria Mkuu  Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Septemba 14, 2020.  Wengine pichani kutoka kushoto ni Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Chande Othman, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, Waziri Mkuu Mstaafu Josph Warioba, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.