Habari za Punde

Muonekano wa Jengo Jipya la Mama na Mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja Lililofunguliwa Leo.13/10/2020.

Jengo Jipya la Mama na Mtoto lilioko katika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein. katika eneo Kivunge Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.