RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akitangaza Baraza lake la Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla
hiyo imefanyika leo 19/11/2020, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAKUU
wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akitangaza Baraza la Mawaziri, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.
VIONGOZI
wa Serikali wa kwanza (kushoto )Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan, Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe.Saleh Juma
Kinana, Ndg. Galos Nyimbo, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Mwinyi Talib
Haji na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakifuatilia hafla ya
kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar
VIONGOZI wa Serikali wa kwanza (kushoto )Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan, Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe.Saleh Juma Kinana, Ndg. Galos Nyimbo, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Mwinyi Talib Haji na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakifuatilia hafla ya kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vya Zanzibar na Tanzania
Bara wakifuatilia kwa makini kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar likitangazwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo
BAADHI ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vya Zanzibar na Tanzania Bara wakifuatilia kwa makini kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar likitangazwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar .
No comments:
Post a Comment