Habari za Punde

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Mgeni rasmi mashindano ya NBC Marathon

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Suyuph Singo akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu mashindano ya NBC  Marathon yatakayofanyika Novemba 22, 2020 Jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kushoto ni Meneja Mahusiano na Serikali wa Benki ya NBC Bw. William Kallaghe.

MenejaMahusianonaSerikaliwaBenkiya NBC Bw. William Kallagheakielezakwawaandishiwahabarikuhusumwitikiowawananchikushirikikatikamashindanoya NBC Marathon yatakayofanyikaJijini Dodoma Novemba 22, 2020 .

.BaadhiyawaandishiwahabariwakifuatiliamkutanowakutangazamashindanoyaNBC  MarathonyatakayofanyikaNovemba 22, 2020 Jijini Dodoma
 

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Suyuph Singo (Kulia)na Meneja Mahusiano na Serikali wa Benki ya NBC Bw. William Kallaghe wakionesha kwa waandishi wa habari tisheti zitakazotumika wakati wa mashindano ya NBC Marathon yatakayofanyika Jijini Dodoma Novemba 22, 2020 .

(Pichana MAELEZO)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.