Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge Wateule wa CCM
katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma tarehe 09 Novemba 2020.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge Wateule wa CCM
katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wabunge Wateule wa CCM mara baada ya kuzungumza naokatika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma leo tarehe 09 Novemba 2020

No comments:
Post a Comment