Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Desemba 18, 2020 amekagua ujenzi wa wa Meli ya MV Hapa Kazi Tu, Mkoani Mwanza. Pichani ni muonekano wa hatua ya Meli hiyo iliyofikiwa katika ujenzi wake

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Meli ya MV Hapa Kazi Tu, Desemba 18, 20209. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja Mradi ujenzi wa Meli, Luteni Kanali. Vitus Mapunda, wakati akikagua ujenzi wa Meli ya MV Hapa Kazi Tu, mkoani Mwanza

No comments:
Post a Comment