Habari za Punde

Mambo ya Fash Fash yalivyokuwa mkesha wa kuamkia siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Maisara

Muimbaji wa Kizazi Kipya Zanzibar Sabri Mshimba (CHABI SIKSI)akitumbuiza katika hafla ya Urushwaji wa Fashfashi Usiku kuamkia siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja

Wananchi mbalimbali wakiangalia Urushwaji wa Fashfashi  Usiku kuamkia siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.
Wananchi mbalimbali wakiangalia Urushwaji wa Fashfashi  Usiku kuamkia siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemed Suleiman Abdulla watatu kutoa kulia akiangalia pamoja na Viongozi mbalimbali na Wananchi Urushwaji wa Fashfashi  Usiku kuamkia siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.
 
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.