Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Fakii Abdulla baada ya kumalizika kwa hutba ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Raudha Daraja Bovu Jimbo la Shauri Moyo Jijini Zanzibar.
LADY GAGA KUTUMBUIZA UAPISHO WA BIDEN,HARRIS
-
Bruce Springsteen na Lady Gaga ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza
hafla ya kuapishwa Joe Biden na makamu wake. Ifuatayo ni orodha ya wasanii
weng...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment