Habari za Punde

Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya Kinduni Kichungwani - Kitope

Muonekano wa Barabara ya Kinduni-Kichungwani-Kitope iliowekewa Jiwe la Msingi na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Riziki Pembe Juma Wilaya Kaskazini B Unguja.

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Riziki Pembe Juma akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mustafa Aboud Jumbe katika Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Barabara ya Kinduni -Kichungwani - Kitope Wilaya Kaskazini B Unguja. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Ayoub Mohamed Mahmoud ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Riziki Pembe Juma (KATIKATI) akiweka Jiwe la Msingi Barabara ya Kinduni - Kichungwani - Kitope ilioko Wilaya ya Kaskazini B Unguja. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Ayoub Mohamed Mahmoud na Kulia ni  Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mustafa Aboud Jumbe ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Barabara ya Kinduni - Kichungwani - Kitope Wilaya Kaskazini B Unguja. Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa salamu za Mkoa katika Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Barabara ya Kinduni - Kichungwani -Kitope Wilaya Kaskazini B Unguja ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar
Mgeni Rasmi  Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Riziki Pembe Juma akitoa hotuba ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi  Barabara ya Kinduni - Kichungwani - Kitope Wilaya Kaskazini B Unguja ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.