Habari za Punde

WAMASAI WANUFAIKA WA MKURABITA WAELEZEA WALIVYOKOPA BENKI KUTUMIA HAKIMILIKI ZA KIMILA MBARALI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mpango wa Urasimishaji wa Ardhi na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), Balozi mstaafu, Daniel Ole Njoolay (kushoto), akizungumza na wafugaji wenye jamii ya kimasai Talas Taikoo (kulia) na Tirike Sandetwa wanufaika wa Mkurabika waliokopa fedha benki kwa kutumia Hati Hakimili za kimila wilayani Mbarali.

Na Richard Mwaikenda, Mbarali                                                                                                                

Tukio hili lilitokea Januari 26,2021 katika Ofisi za Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya baada ya mkutano na viongozi wa halmashauri pamoja na wadau walionufaika kwa kutumia Hakimiliki za kimila kukopea mkopo benki.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.