RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, MNEC
Nassir na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana alipowasili
katika viwanja vya Msikiti wa Maisara, kuhudhuria maziko ya Marehemu
Mwanakhamis Sadat.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Wanaumini wa Kiislam katika Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu
Mwanahamis Sadat, ikiongozwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid
Ali Mfaume, iliofanyika katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar Wilaya ya
Mjini Unguja.

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali
Mfaume, baada ya kumalizika kwa sala ya kuusalia Mwili wa Marehemu Mwanahamis
Sadat, iliofanyika katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini
Unguja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akimsalimiana na Mzee Burhani Sadat, baada kumalizika kwa Sala ya kuusalia
mwili wa Marehemu Mwanahamis Sadat, iliofanyika katika Msikiti wa Maisara Jijini
Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment