Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Azungumza na Wafanyakazi wa Wizara Hiyo leo.

Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Khamis Abdallah Said akimkaribisha katibu mkuu wa wizara hiyo kuongea na wafanyakazi wa sekta ya Michezo na Utamaduni   huko katika Ukumbi wa Sanaa Raha leo Mjini Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab akiwasisitiza wafanyakazi nidhamu,mashirikiano pamoja uwajibikaji katika sehemu zao za kazi huko katika Ukumbi wa  Sanaa Raha leo Mjini Unguja.
Msaidizi Meneja Studio za Filamu Abdallah Ally(Duu) akieleza changamoto wanazokabiliana nazo katika maeneo yao ya kufanyia kazi huko katika Ukumbi wa  Sanaa Raha leo Mjini Unguja.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.