Habari za Punde

Makamu wa Rais afungua Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika madini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa mbalimbali za Mapambo alipotembelea maonesho ya Shughuli za Madini katika Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini. Kongamano hilo la siku tatu lenye kauli mbiu "Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu" limefunguliwa leo Febuari 22,2021 katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam. kushoto ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia moja ya kifaa kinachotumika kwa Utafiti wa kuweza kujua ubora na uhalisia wa Madini XRF alipotembelea Banda la Tume ya Madini kwenye maonesho ya Shughuli za Madini katika Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini. Kongamano hilo la siku tatu lenye kauli mbiu "Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu" limefunguliwa leo Febuari 22,2021 katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC  Jijini Dar es salaam. kushoto ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini. Kongamano hilo la siku tatu lenye kauli mbiu "Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu" limefunguliwa leo Febuari 22,2021 katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko baada ya kufungua Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini lenye kauli mbiu "Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu" katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam leo Febuari 22,2021.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.