Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUTUBIA MAADHIOMISHO YA SIKU YA WANAWAKE NA WASICHANA KATIKA SAYANSI

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Sayansi kutoka kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Shule ya Msingi Kawe alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biology kutoka kwa Mwanafunzi Aisha Yahya wa Shule ya Sekondari Juhudi alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere Jijini Dar es salaam. kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Fani ya Umeme kutoka kwa Mwanafunzi Esther Fabian wa Chuo cha VETA Dar es salaam  alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere Jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biomedical Equipment Engineering kutoka kwa Mwanafunzi Dotnatha Ntunga wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere Jijini Dar es salaam.  kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.