Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Azungumza na Ujumbe wa Bodi ya Mpango wa Mkurabita Ikulu leo.11-2-2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA ) walipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha wakiwa Zanzibar katika ziara yao ya siku nne kuzungumza na Wananchi wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania ( MKURABITA ) Bi.Immaculata Mwanja Senje. (kushoto kwa Rais) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa MKURABITA, na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, wakiwa Zanzibar kwa ziara yao kuzungumza na Wananchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mtaribu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Dkt.Seraphia Mgembe, akitowa maelezo ya utendaji wa Mipango wa MKURABITA, wakati wa mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu nJijini Zanzibar leo 11-2-2021 na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa MKURABITA Bi. Immaculata Mwanja Senje.

Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kwa ziara ya kuwatembelea Wananchi na kuzungumza nao.
WAJUMBE wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, yaliofanyika Ikulu
WAJUMBE wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, yaliofanyika Ikulu.
WAJUMBE wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, yaliofanyika Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya MKURABITA Bi. Immaculata Mwanja Senje.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.