Habari za Punde

Zitto Kabwe akutana ana Viongozi wa ACT Wazalendo Majimbo, Mikoa na ngazi ya Taifa


 Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe akutana na Viongozi wa Majimbo,Mikoa pamoja na ngazi ya Taifa kwa upande wa Kisiwa cha Unguja, kwalengo la kubadilishana mawazo.


Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Baytlyamin Malindi wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharib Unguja leo 21/02/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.