BAADHI ya Wafanyabiashara wa Sekta ya Usafiri na
Usafirishaji Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa muendelezo wa mikutano
yake na Wafanyabishara wa Sekta mbalimbali Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wafanyabiashara wa Sekta ya Usafiri na
Usafirishaji Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa muendelezo wa mikutano
yake na Wafanyabishara wa Sekta mbalimbali Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MWAKILISHI wa Kampuni ya Usafiri ya Azam Marine.Ndg.Salum
Azizi akichangia katika mkutano huo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kuzungumzia
changamoto zao, ikiwa ni muendelezo wa
mikutano yake kukutana na Sekta mbalimbali za Wafanyabishara Zanzibar
MFANYABIASHARA wa Kampuni ya United Africa
Feeder Line Capt.Saad Shaffi akichangia
wakati wa muendelezo wa mikutano ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na Sekta mbalimbali za Wafanyabishara
Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wenye Daladala
Zanzibar.Bw.Said Abdalla Suleiman,akichangia katika mkutano huo wa
Wafanyabiashara ya Usafirishaji na Usafiri Zanzibar, akichangia kuhusiana na
uwekeji wa vituo vya daladala katika baadhi ya maeneo, ikiwa ni muendelezo wa
mikutano ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar, uliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MKURUGENZI wa Kampuni ya Fast Lane Freight Ndg.
Omar Hussein Mussa akichangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni muendelezo wa
kuzungumza na Sekta mbalimbali za Wafanyabiashara
MFANYABIASHAYA wa Kampuni ya Ndege ya Al
Salam.Ndg.Hussein Abdulsatar, akichangia wakati wa mkutano wao na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake na Wafanyabiashara wa Sekta
mbalimbali Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment