Habari za Punde

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar aifariji familia ya Marehemu Maalim Shawwal Zam

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Othman Masoud Othman akiitiikia dua wakati alipofika nyumbani kwa familia ya Marehemu Maalim Shawwal Zam Ali iliyopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi kuwapa pole leo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Babu Juma Duni Haji.


Kiongozi mwandamizi wa ACT Wazalendo Salim Bimani akiwafariji wanafamilia wa  Marehemu Maalim Shawwal Zam Ali wakati alipofika kuwapa pole akiongozana na Makamu wa Kwanza wa Rais, Mhe Othman Masooud Othman

 Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Othman Masoud Othman alipofika nyumbani kwa Marehemu Shawwal Zam Ali kutoa mkono wa pole kwa wanafamilia

Maalim Shawwal alifarikia dunia siku ya Ijumaa tarehe 05/03/2021 katika Hospitali ya Ar Rahmah

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.