Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Akabidhi Vyakula Kwa Watoto Yatima

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Vifaa mbalimbali  ikiwemo Mchele, Sukari, Mafuta Unga wa Ngano, Sabuni, pamoja na Vinywaji Baridi kwa ajili ya maandalizi ya Ufungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Unaotarajiwa kuanza hivi karibuni, katika Kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Rahman Orphanege Centre Chang'ombe Jijini Dodoma leo April 12,2021, pamoja na Milango na Madirisha kwa ajili ya kumalizia Ujenzi wa Jengo la Madrasa ya Kituo hicho. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.