Habari za Punde

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika Sala ya Isha ikiongozwa na Imam Mkuu wa Masjid Magh-Fira Malandege Jijini Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir (Mwalimu Aliyani) iliofanyika jana usiku 17-4-2021, katika msikiti huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam wa Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar katika Ibada ya Sala ya Tarawekh ikiongozwa ma Ust. Kombo Bai, iliofanyika jana usiku 17-4-2021.katika msikiti huo ikiwa ni muendelezo wa Ibada katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ikisomwa na Imam Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Sheikh Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) ( kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, Ust.Ali Khamis na Ust.Amour Yussuf, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh-Fira  Mlandege Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ikisomwa na Imam Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Sheikh Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) ( kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, Ust.Ali Khamis, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh-Fira  Mlandege Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabiri (kulia kwa Rais) na Ust. Kombo Bain a (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar jana usiku 17-4-2021


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.