RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini
Unguja katika Sala ya Magharibi, ikiongozwa na Sheikh.Said Abubakar,
iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati
Unguja, wakati wa hafla ya Futari Maalum
aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Muazi
Jongo Hassan, baada ya kumaliza kwa Sala
ya Magharibi iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu
Wilaya ya Kati Unguja na (kulia kwa Rais)Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid
Hadidi Rashid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk., Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa
Kusini Unguja katika Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo
iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali
Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu
wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba na
Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakipata
futari katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati
Unguja ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakipata
futari katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati
Unguja ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini
Unguja baada ya kumaliza kwa Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa
Kusini katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein,(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati
Unguja
Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Khalifa Salim Suleiman na Wananchi wa Mkoa wa
Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi (hayupo pichani ) baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum
iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk. Hussein Ali Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein
(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohamed Said, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari
Maalum iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya
ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na
kubadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Kusinbi Unguja Mhe Rashid Hadidi
Rashid, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mwakilishi wa Jimbo la
Tunguu Mhe Simai Mohamed Said na Mbunge wa Jimbo la Tungu Mhe. Khalifa
Salim Suleiman, wakiwa katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA( Tunguu
Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika
katika ukumbi huo
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari Maalum
ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.
Hussein Ali Mwinyi iliofanyika katika ukumbi Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA)
Tunguu Wilaya ya Kati Unguja na (kulia kwake) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi
Mhe. Mgeni Hassan Juma na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakijumuika na
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi katika Futari Maalum ilioandaliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein
(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja

RAIS w Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Mkoa wa
Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia
Wananchi wa Mkoa huo, iliofanyika katika ukumbu wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA)
Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.

No comments:
Post a Comment