Habari za Punde

Waziri Mhe Simai Atembelea Eneo la Ujenzi wa Jengo la Bodi ya Mikopo Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said akiwa na Maofisa wa Wizara yake wakiangalia michoro ya ramani ya jengo jipya la kisasa la ofisi ya Bodi ya Mikopo Zanzibar, linalotarajiwa kujengwa katika eneo la Mazizini Jijini Zanzibar.

Picha na Maulid Yussuf.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.