Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AFUNGA MAADHIMISHO SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiangalia baadhi ya Matumizi ya Nishati Mbadala kuongoa Mifumo Ikolojia, alipotembelea Maonesho ya  Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo Juni 05,2021 katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiangalia baadhi ya Matumizi ya Nishati Mbadala kuongoa Mifumo Ikolojia, alipotembelea Maonesho ya  Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo Juni 05,2021 katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akipata maelezo kuhusu matumizi  ya Jiko linalotumia Nishati Mbadala kuongoa Mifumo Ikolojia, wakati alipotembelea Maonesho kwenye  Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo Juni 05,2021 katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akimsikiliza Msanii  Mai Zumo, alipokutana nae kwenye  Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo Juni 05,2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akilihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo Juni 05,2021 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akionesha Mpango kabambe wa Uhifadhi wa Mazingira Nchini mara baada ya kuuzindua kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo Juni 05,2021 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizindua Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kampeni Kabambe ya Usafi Nchini kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo Juni 05,2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.