Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Philip Mpango Amekutana na Kuzungumza na Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Ofisi Yake.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdalla wakati Bw. Abdalla  alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bibi Mary Maganga wakati Bibi Maganga alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 01,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  Bibi Mary Maganga  kulia na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdalla, alipokutana nao Ofisini kwake Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 01,2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.