Habari za Punde

Waziri Mhe.Jafo Aridhishwa na Maonesho ya Wiki ya Mazingira.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mazingira Bi. Fainahappy Kimambo alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika maonesho ya Wiki ya Mazingira yanayoendelea katika viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Kampeni Kabambe ya Hifadhi na Usafi wa Mazingira Mazingira, Bw. Seif Ali Seif akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika maonesho ya Wiki ya Mazingira yanayoendelea katika viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.