Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amefungua Mashindano ya Umitashumta na Umiseta leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkewe Mary Majaliwa  (wa pili kushoto) wakisalimiana na viongozi wakati walipowasili kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara ambapo Waziri Mkuu alifungua Mashindano ya  Michezo ya Shule za Msingi (UMITASHUMTA)  na  Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari (UMISETA), Juni 8, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira na filimbi Mwamuzi  Rahma Kilimba wakati alipofungua Mashindano ya Michezo ya Shule za Msingi  (UMITASHUMTA) na  Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari (UMISETA)  kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira na filimbi Mwamuzi  Emmanuel Mwandembwa wakati alipofungua Mashindano ya Michezo ya Shule za Msingi (UMITASHUMTA ) na Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari (UMISETA ) kwenye uwanja wa Nangwanda SIjaona mjini Mtwara,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mashindano ya Michezo ya Shule za Msingi (UMITASHUMTA)  na Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari (UMISETA)  kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara
. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.