Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid ya Welesi Jijini Zanzibar kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa leo 23/7/2021.
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
8 hours ago

0 Comments