Marekani Imeipatia Tanzania Dozi Milioni 1 ya Chanjo za COVID-19 ambazo ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Chanjo hizo zimewasili nchini Tanzania kwa shirika la ndege la Emirates na Kupokelewa na Waziri wa Afya Dk Dorothy Gwajima, Waziri wa Mambo ya Nje Balozi, Liberata Mulamula pamoja na Balozi wa Marekani nchini #Tanzania Donald Wright katika Uwaja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA
No comments:
Post a Comment