Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Nchini Bujumbura Nchini Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipiga ngoma aliyokabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye kama zawadi Ikulu Bujumbura Burundi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhiwa zawadi ya ngoma na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye kama zawadi Ikulu Bujumbura Burundi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye pamoja na Mkewe baada ya kuhudhuria Dhifa ya Jioni iliyoandaliwa na  Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi Ikulu Bujumbura Burundi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Tawi la Jipya la Banki ya CRDB  Bujumbura Nchini Burundi wakati alipokuwa katika ziara ya kitaifa Nchini humo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Tawi la Jipya la Banki ya CRDB  Bujumbura Nchini Burundi wakati alipokuwa katika ziara ya kitaifa Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, wakishuhudia utiaji saini hati 8 za makubaliano kati ya Nchi mbili hizi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, wakishuhudia utiaji saini hati 8 za makubaliano kati ya Nchi mbili hizi leo Julai 16,2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.