Habari za Punde

Bongo Zozo atinga Baraza la Wawakilishi

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid akisalimiana na Balozi wa kutangaza utalii ambae pia ni mshabiki wa timu ya Taifa Stars Nicholas Reynolds [Bongo Zozo] wakati alipofika Baraza la wawakilishi Chukwani kufuatia mualiko wa mhe Suleiman Makame Ali Mwakilishi wa jimbo la Ziwani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.