Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aagiza kukamilishwa mgogoro wa nyumba ya Mama Anna Philipo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtuliza Mama Anna Philipo  mkaazi wa Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi  mwenye mgogoro wa Nyumba yeke kutakiwa kuvunjwa,ambapo tayari hatua za kutatua tatizo hilo likifanyiwa kazi .[Picha na Ikulu] 29/09/2021. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.