Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akagua ujenzi wa barabara ya Kipapo hadi Mgelema na pia kuzungumza na wananchi

WANANCHI wa Kijiji cha Mgelema Wilaya ya Chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na Wananchi hao wakati wa ziara yake kuangalia Mradi wa ujenzi wa barabara kutoka Kipapo hadi Mgelema, inayojengwa kwa kiwango cha lami.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Kijiji cha Mgelema Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Bw.Amour Ali Amour akizungumza na kuwasilisha kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa ujenzi wa barabara ya Kipapo hadi Mgelema inayotengenezwa kwa kiwango cha lami.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisikiliza kero za Wananchi wa Kijiji cha Mgelema Wilaya ya Chakechake wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba,alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kipapo hadi Mgelema inayojengwa kwa kiwango cha lami.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Masoud.(Picha na Ikulu)
MWANANCHI wa kijiji cha Mgelema Ndg.Salum Kassim Abdalla akiwasilisha kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa ziara yake kuangalia Mradi wa ujenzi wa Barabara ya Kipapo hadi Mgelema inayojengwa kwa kiwango cha lami.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mgelema na vijiji jirani, wakati wa ziara yake kukagua Mradi wa ujenzi wa barabara kutoka Kipapo hadi Mgelema inayojengwa kwa kiwango cha lami.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mgelema na vijiji jirani, wakati wa ziara yake kukagua Mradi wa ujenzi wa barabara kutoka Kipapo hadi Mgelema inayojengwa kwa kiwango cha lami.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Masoud na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Mgelema Wilaya ya Chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na Wananchi hao wakati wa ziara yake kuangalia Mradi wa ujenzi wa barabara kutoka Kipapo hadi Mgelema, inayojengwa kwa kiwango cha lami.(Picha na Ikulu)

 MUONEKANO wa barabara ya Kipapo hadi Mgelema ikiwa katika hatua za mwanzo za ujenzi wake kwa kuwekwa kifusi, inayojengwa kwa kiwango cha lami.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.