Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika uzinduzi wa jengo jipya la ZRB, Chake Chake Pemba

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo jipya la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali na Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Bw. Salum Yussuf Ali.Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya jengo hilo Gombani Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengi jipya la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) na katika viwanja vya Gombani Wilaya ya Chake chake  na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali na Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Bw. Salum Yussuf Ali.Ghafla hiyo imefanyika katika viwanja vya jengo hilo lilioko Gombani Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua jengo jipya la Bodi ya Mapato Zanzibar.(ZRB) lilioko katika eneo la Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (ZRB) Bw.Saleh Sadiq na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor Masoud.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB Bw. Saleh Sadoq na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakitembelea jengo hilo la ZRB baada ya kulifungua leo rasmin.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi.Zena Ahmed Said, wakimsikiliza Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Bw. Salum Yussuf Ali, akitowa maelezo wakati wa kutembelea jengo hilo baada ya kufunguliwa rasmin leo 2-9-2021.(Picha na Ikulu)
/WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa jengi jipya la ZRB Gombani Chakechake Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika ufunguzi wa jengo la ZRB Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. kuzungumza na Wananchi katika hafla hiyo iliofanyika leo 2-9-2021.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la ZRB Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Chakechake Pemba katika ufunguzi wa jengo jipya la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) lilioko katika eneo la Gombani Pemba, hafla hiyo ya ufunguzi imefanyika katika viwanja vya jengo hilo leo,2-9-2021.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.