Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo akiwepo na Balozi Mdogo ayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Bhagwant Singh, (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza mgeni wake Balozi wa India nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambilisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika picha na mgeni wake Balozi wa India nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha.[Picha na Ikulu] 16/09/2021.
No comments:
Post a Comment