Habari za Punde

Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amewaapisha Viongozi Wawili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo.

 

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Mathew Modest Kilama akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini Togolani Edriss Mavura wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Togolani Edriss Mavura kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mathew Modest Kilama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.