RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii katika Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Afisa Mkuu wa Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB.Bw.Benedicto Baragomwa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mkuu wa Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB.Bw.Benedicto Baragomwa, akizungumza na kutowa maelezo ya ufadhili wa Tamasha la Sea Food Festival, linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii baada ya kukamilika kwa maandalizi yake.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival Zanzibar linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kupokea taarifa ya kukamilika kwa Tamasha hilo iliowasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
No comments:
Post a Comment